The United Church of Canada crest /L'Église Unie du Canada
3250 Bloor St. West, Suite 300
Toronto, ON M8X 2Y4 Canada
Toll-Free: 1-800-268-3781
Fax: 416-231-3103
Website: www.united-church.ca
Quick Links
  • Text Size: A A A
  • Print This Page
  • Share/Save

Overview

Taarifa muhimu ya mafundisho yetu

Trouble reading this page? See our help page!

Hii aya yatowa taarifa ya maalum kuhusu mafundisho ya Kanisa la Muungano-vikaratasi vielezavio kiini ya imani yetu.

Kwa nyakati mbalimbali, Kanisa la Muungano la thibitisha imani yake kwa njia mpia kwakuutubiya mabadiliko muktadha na changamoto mpia. Kwakuarifu kiini ya imani yetu ni harakati ya daima.

Tukikubali kwamba Biblia ndiyo chanzo ya imani yetu, uanachama katika kanisa letu una msingi wake kwa ilani ya Imani, na sikwakuambatana na imani fulani.

Wanachama wapya wana ulizwa ku tangaza Imani yao katika aina tatu ya Mungu- Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu- na kujitoa kuenenda katika imani kanisani na pia duniani. Pia, wanahuduma wa kanisa la Muungano wanaombwa kuwa na “maafikiano ya msingi” na vifungo 20 vya Imani vilivio patikana katika The Basis of the Union”.

Roho moja ya Kristu

Kama memba wa mwali ya Kristu, twakubali urithi wa uanzilishaji wetu na mafundisho ya imani ya kanisa la kale, hususa imani ya mitume.

Uwanamemba wetu katika Baraza la Dunia la Makanisa (World Council of Churches ) latuunganisha katika maabudu na makanisa ambazo za kiri Buana Yesu Kristu kama Mungu na Mwokozi kulingana na maandiko.

Zaidi ya yote, twafuatiza imani yetu kulinga maandiko ya Agano Jipya na ya Agano la kale, ambazo ushahidi ni kawaida ya ya juu zaidi kwa amisha na imani ya kikristu.

Uhakikishaji wa Imani yetu

Fundisho la Kanisa la Muungano la Kanada lina patikana katika The Basis of the Union (1925), ambayo inazingatia vifungo 20 vya Imani.

Kanisa ilianzisha imani yake katika hali mpya katika A Statement of Faith ya mwaka 1940. Hii ialani ya yatukumbusha kwamba Imani ya Kanisa ni injili isiyo badirika ya Utakatifu wa Mungu, yenye kukomboa upendo unao kua ndani ya Yesu Kristu. ina tamka pia kwamba kila kizazi mpya inaitwa kuarifu injili hii upya, katika hali ya mawazo ya herimu yao na mkazo wa mahitaji ya herimu yao.

Aliko lakuthibitisha kitubio yetu yatupeleka kunako imani mpya (1968), ambayo ni hakikisho ya imani inayo tumiwa sana katika ibada yetu. Ina tupeleka pia kwenyi ilani kama kwa mfano The Lord of Jesus (1978) na The Authority and Interpretation of Scrupture (1992).

Kwa sasa, kanisa la jifunza na laendesha majadiliano kwaajili ya kutoa ilani mpya la Imani, A Song of Faith, ambao itafikiriwa kunako Baraza Kuu la 39 katika mwezi wa nane 2006.

Last updated:
2007/05/27
Created:
2007/05/27