Trouble reading this page? See our help page!
Kanisa la Muungano la Kanada lilizinduliwa kikamilifu Juni 10, mwaka 1925,
katika muji wa Toronto, Ontario, wakati Kanisa la ki Methodisti, Umoja la Kimakanisa
la Kanada na sabini kwa miya la wenyeki wa kanisa la ki presbyteri la Kanada
walijiunga na kuunda umoja mahuluku.
1800s
1829
Kitabu cha kimetodisti na jengo la utoaji lime anzilishwa Toronto
1874
Jimbo la Quebec la kanisa la Uingereza la simika baraza kwa ajili ya kuongoza
umajo wa kanisa.
1875
Unganisho la vitengo nne la ki metodisti katika Kanisa moja la Kimetodisti (Kanada).
1885
Pendekezo la majadiliyano ku husu umoja wa Kanisa katika nchi ya Kanada la tokezwa
kutoka Kanisa la Uingereza ( Ki Anglikani), na mkutano kandaliwa mwaka 1886
1899
Kanisa la ki metodisti (Kanada) la anzilisha jumba la Nyaraka pa Victoria Universty,
Toronto.
^
1900-14
1902
Majadiliyano rasmi kaanzishwa katita Umoja wa makanisa, wa metodisti na makanisa
za ki presbitari.
1904-08
Wajumbe wa uunganishaji wa makanisa wa jitahidi kuweka msingi wa umoja.
1906
Miungano kadha za kimakanisa wa unda Umoja wa makanisa ya Kanada.
1912
Muungano la elimu la makanisa la anzishwa mjini Montreal miongoni wa anglikani,
wa presbiteri, wa metodisti, na makanisa zaushirika.
1914
Vita la kwanza la dunia kuanza na harakati za muungano ku pungua.
^
1921-29
1921
Chuo cha misioni cha Kanada kuanza ( iliyo itwa baadae Ecumenical Forum) likiwa
na maazimiyo ya ku wa elimisha watu kwa misioni ya ng’ambo ( Wa anglicani,methodisti,
presbyteri, na baadae wa Baptisti).
1925
Juni 25, mjini Toronto ,katika jumba la Mutual St Arena , kanisa la Muungano
la Canada lika undwa kutokana na umoja la wa presbiteri,wa methodisti, ma conger…,na
baraza kuu la muungamano wa kienyeji.
1925-26
Baraza kuu la kwanza, katika mji wa Toronto, Ontario,Moderator: Adilifu Rev.
James Endicott.
1926-1928
Baraza kuu la pili ,katika mji wa Winnipeg, Manitoba, moderator: Adilifu Rev.
William T. Gunn.
1925-29
Jumuia, chuo, na ofisi za kanisa la mwunganisho kojitokeza
1928-30
Baraza kuu la tatu, mji Winnipeg, Manitoba, Moderator: Adilifu Rev. William T.Gunn.
1929
Kuzofika kwa uchumi kuanza
^
1930s
Kazi ya vijana kuendelea katika idhaa mbalimbali: mazowezi ya wasichana wa Kanada,
ambao kuanza katika mwaka wa 1915, “Trail Rangers” kwa wavulana, “Tuxis Boys”
kwa wavulana kutoka miaka 15 hadi juu; na Old Boys Parliament.
1930-32
Baraza kuu la nne, katika mji wa London, Ontario, Moderator: Adilifu Rev.Edmund
H.Oliver.
1930
Mwunganisho na synodi ya Wesleyan Methodist Church of Bermuda kuunda “Presbitary
of Maritime Conference”.
1932-1934
Baraza kuu la tano katika mji wa Hamilton, Ontario, Moderator: Adilifu Rev. T
Albert Moore.
1934
“ Feellowship for a Christian Social Order” (FCSO) kuanzishwa katika mji wa Kingston,
Ontario, julikanalo kama “ changamano ya wa kisto ambao imani yao ya kidini
huwa vuta ku amini kwamba taratibu ya uchumi ya wa kapitalisti hu epukana ki
msingi na kanuni za ki kristo; na ambao uamini kwamba maumbile ya maingiano mpya
ni ya lazima kwa ku tekeleza ufalme wa Mungu.”
1935
“ Katika hii, ni adhimisho ya kumi. Kanisa la Muungano la Kanada uhakikisha kwa
ulimwengu wote imani na asili yake kwa mawazo ambao ime wa vuta kuundwa. Kwa
mwangaza ya ujuzi ya miaka kumi kanisa la Muungano la Kanada limegundua kwamba
izi vipeo nivya maana sana kwa kazi yao , na katika kutafuta hizo vipeo wenyeketi
wao wame gundua makuu na undani wa ki kristo, kibinadamu na ibada. Katika ku
thibitisha imani ya karama ya chanagamano yao yaki kristo, Kanisa la Muungano
la Kanada limeingia katika mlongo wake wa pili, ikiwa tayari, kulingana na jinsi
uwezo ime jitokeza kwao na jinsi Mungu huweza kuwa elekeza ,kutafuta na wakristo
wengini maendeleo zaidi ya kipeo yake; ikiwa kwakuongeza uhusiano, mwuungano
mahuluku , na kwa ivyo kutekeleza azimiyo lake yakusitokuwa mwuungano tu, lakini
kanisa la uunganishaji.”
1936
Baraza kuu la sita, katika mji wa Kingston, Ontario, Moderator Adilifu Rev Richard
Roberts.
1936-1938
Baraza kuu la saba, katika mji wa Ottawa, Ontario, Moderator, Adilifu Rev. Peter
Bryce.
1936
- Uchapishaji wa R.B.Y Scott and Gregory Vlastos, eds., “Towards the Christian
Revolution”
- Kuzunduliwa kwa mwanamke wa kwanza kama mhudumu wa kwanza katika Kanisa la
Muungano la Canada, bii Rev. Lydia Gruchy
- Kanisa la ki Baptisti ku ime chukuwa wimbo la kanisa la Muungano kabla ya
msahihisho
- Maongezi kufaki kati ya Kanisa la Muungano, wa Anglikani na wa presbiteri
kuhusu “buheri ya ujamaa”
1937
Ma baptisti wa silika mjumbe wao kwa nyuma la Utowaji la Kanisa la Muungano la
Canada kama shauri kuhusu habari za elimu za kikristo.
1938-40
- Baraza kuu la nane, katika mji wa Toronto, Ontarion, Moderator: Adilifu Rev.
John W. Woodside.
- Baraza kuu la hakikisha haki ya imani katika wakati wa vita.
1939
- Vita ya pili ya Dunia kuanza
- Kanisa la Muungano lajishugulisha katika bidii za enjili
- Makasisi sitini wa Kanaisa la Muungano wa andika barua ijulikanalo kama “
Witness Against War” kueleza maoni yao ya amani.
^
1940s
1940-42
- Baraza kuu la tisa, mji wa Winnipeg, Manitoba, Moderator: Adilifu Rev. Aubrey
S. Tuttle.
1940
- Tamko la Imani limetolewa. Kwa mwaka 1950, manukuu 75,000 zime uzwa
- Kanisa ku staafisha deni ya kuzofika kwa uchumi kwa kikopo la vita. “kikopo
kwa nchi yako na thawabu ka kanisa lako”
1942-44
Baraza kuu la kumi, Belleville, Ontario, Moderator: Adilifu Rev. John R.P Sclater.
1942
Kanisa la Muungano husimama wima kwakuisaidiya shokao.
1943
Wa anglikani wa Canada husherekea karamu yao waki alika madhehebu wengine katika
maongezi ya changamano. Kanisa la muungano kajibu na utayari.
1944-1946
Baraza kuu la kumi na moja , mji London, Ontario, Moderator: Adilifu Rev. Jesse
H. Arnup.
Tume kateuliwa kuhusu ndao ya kikristo na nyumba ya kikristo.
1944
- Katekismu kahadhiriwa.
- Nymba la utowaji la kanisa la muungano ikathabitisha mapatano yake na “Toronto
Allied Printing Trade Council ”yenyi kuwaruhusu mkongojo yeyote kuwa mwenyekiti
wa shirikisho.
- Baraza la makanisa za Kanada ikaundwa, na Kanisa la Muungano la Kanada kawa
moja ya wenyekiti.
1946-48
Baraza kuu la kumi na mbili, mji Montreal, Quebec, Moderator: Adilifu Rev. Thomas
W. Jones. Tume ka undwa kuhusu utamaduni wa Kanada.
1946
Azimio la pamoja kutoka Kanisa la Muungano na kanisa la kianglikani kuhusu idara
moja ikatolewa.
1948-50
Baraza kuu la kumi na tatu, mji Vancouver, British Columbia, Moderator: Adilifu
Rev. Willard E. Brewing.
1948
- Baraza la makanisa duniani ka undwa na Kanisa la Muungano kuwa mwenyekiti
moja wao
- Shule za makanisa za nyumbani kaanza funga.
^
1950s
1950-52
Baraza kuu la kumi na nne, Toronto, Ontario, Moderator : Adilifu Rev. Clarence
M. Nicholson.
1950
Kuhahakisha azimio ya sherehe ya kumi kuhusu sherehe ya 25 na umoja wa kanisa.
1952-54
- Baraza kuu la kumi na tano, mji Hamilton, Ontario, Moderator: Adilifu Rev.
Alexander A. Scott.
- Baraza kuu uunga mkono utabibu an kukibali de facto Taifa ya wanainchi wa
chaina.
- Pendekezo ka tolewa la kuanza mtaala mpya
- Vyumba kuu za Nyaraka la Kanisa la Muungano zimegunduliwa kikamilifu, kawekwa
katika mji wa Toronto, pa Victoria University.
1954-56
Baraza kuu la kumi na sita, mji Sackville, New Brunswick, Moderator: Adilifu
Rev. George Dorey.
1955-56
Maendeleo ya mtaala mpya na bodi ya elimu ya kikristo (David Forsyth, Alvin Cooper,
Frank Fildler) na pia bodi la utoaji (Peter Gordon White, Wilbur K. Howard).
1956-58
Baraza kuu la kumi na saba, mji Windsor, Ontario, Moderator : Adilifu Rev. James
S. Thomson.
1958-60
- Baraza kuu la kumi na nane, Ottawa, Ontario, Moderator: Adilifu Rev. Angus
J. Macqueen.
- Kanisa la Muungano kuuliza swali laku endelea ama ku ondoka kwa kanisa la
kianglikani kwa aliko yake ya mwaka 1943; kuamua kuendelea.
1959
Baraza kuu mtendaji la idhinisha mtaala mpya la kiteolojia na la elimu katika
mwezi wa novemba.
^
1960s
1960-62
- Baraza kuu la kumi na tisa, mji Edmonton, Alberta, Moderator : Adilifu Rev.
Hugh A. McLeod.
- Baraza kuu laadhimisha sera kwamba kujihinisha na pombe ni “tabia busara
na salama”, lakini kutumia kikadiri ime kubaliwa. Kujihinisha kabisa siyo lazima
kabisa.
- Rev. Arthur Packman hufanya kazi kama padre wa baamjini Toronto. Rev.
Gordon Winch akafuata.
- “ Maendeleo ya ufahamivu ”, andiko
la pamoja kati
ya kanisa la ki anglikan na kanisa la Muungano ika tolewa.
1962-64
- Baraza kuu la ishirini, London Ontario, Moderator: Adilifu Rev. James R.
Mutchmor.
- Uchapishaji wa azimio ya mtaala mpya ika anza na kitabu cha Donald Maher
kwa watu wazima, ambalo lilikuwa kitabu bora.
1962
- Umoja wa wamama na Umoja la jamii wa mama mmisionari wakajiunga ku umba Kanisa
la Muungano la Wamama.
1964
Azimio la muungano kujitokeza kati ya mkutano wa London na jimbo la kikanisa
la Huron.
1964-66
- Baraza kuu la ishirini na tano, mji St John’s, Newfoudland, Moderator: Adilifu
Rev. Ernest M. Howse.
- Kamisheni kuhusu uwaziri kwa kame ya ishirini kutetuliwa kwa kujibu kwa wasiwasi
kati ya ma jumuhia, mapresbiteri na wahuduma kuhusu kazi ya huduma.
1965
- “Madhehebu ya umoja” kati ya kanisa la Muungano na kanisa la Kianglikani
ikatolewa.
- Kitabu cha Pierre Berton, “ The comfortable pew” ika tolewa kwa
maombi ya Kanisa la ki Anglikani la Canada.
- “Why The Sea is Boiling Hot”, semina kuhusu kitabu ya Berton ika
tolewa.
1966-68
Baraza kuu la ishirini na mbili, mji Waterloo, Ontario, Moderator: Adilifu Rev.
Wilfred C. Lockhart.
- Baraza kuu kukubali azimio la umoja na Mkutano la Canada la “ Conference
of The Evangelical United Brethren Church “ kuanza kwa mwaka 1968
- KAnisa la Muungano la “ Renewal Fellowship” kaanzishwa.
- Kwa mara yakwanza tangu umoja, wanachama wa kanisa la Muungano wakashuka.
1968
Rev. Ray Hord, katibu wa Injili na kazi ya kikao, akatoa msaada wa haraka kwa
waamerika wa Vietnam, Barza kuu mtendaji ikajitenga na hatuwa iyo lakina baada
ikawa sera ya kanisa.
1968-71
Baraza kuu la ishirini na tatu, mji Kingston, Ontario, Moderator: Dr. Robert
B. McClure.
1968
January 1: Umoja ukatendeka na kanisa la “Evangelical United Brethren” (Kanisa
la Huduma la Muungano la Brethren).
1969
Kitabu la maabudu ika tolewa.
^
1970s
1971-72
Baraza kuu la ishirine na nne, Niagara Falls, Ontario, Moderator: Adilifu Rev.
Arthur B.B Moore.
1971
- Azimio la umoja ikakubaliwa na komisioni la kanisa la ki anglikani, la Muungano
na wafwasi wa Kristo.
- Kitabu cha wimbo ikatolewa na kanisa la Muungano na lile la ki anglikani.
1972-74
Baraza kuu la ishirini na tano, Saskatoon, Saskatchewan, Moderator: Adilifu Rev.
Bruce McLeod.
1974-77
- Baraza kuu, Guelph, Ontario, Moderator: Adilifu Rev. Wilbur K. Howard.
- Ujumbe kuhusu huduma ika sisitiza kwamba kuna huduma moja tuu, “huduma ya
Mungu pekee, na kati ya huduma hiyo Mungu huwaita kanisa lake lote.
1975
- Jukumu la nguvu kuhusu makanisa na kushirikiyana kwa pamoja ika undwa, halafu
baadae uundaji wa mkutano wa kanisa na watu wa ubiashara.
- Jumba la ki anglikani la maaskofu na baraza tendaji la taifa ikakataa kabisa
la muungano.
- Waanglikani, waluterean, wapresbyteri, kanisa katoliki na kanisa la muungano
wakakubali uhakika wa ubatizoya kikristo katika halizake zote.
1977-80
- Baraza kuu la ishirini na saba, mji Calgary, Alberta, Moderator: Adilifu
George M. Tuttle.
- Ripoti zaidi kuhusu ikaonyesha kuongezaka kwa watu wanajisi katika huduma.
^
1980s
1980-82
- Baraza kuu la ishirini na nane, mji Halifax, Novo Scotia, Moderator: Adilifu
Lois M. Wilson.
- Baada ya kutazama somo la mwisho kuhusu huduma, Azimio: Huduma, kamiti la
kikao la baraza kuu ikatoa azimio lifuatalo: “Kama kinisa, sisi bado tuendelea
mbele kufikkia mmarifa kamili ya huduma”.
1982-84
Baraza kuu la ishirini na tisa, mji Montreal, Quebec, Moderator: Adilifu Rev.
W. Clarke Mac Donald.
1982
Katika mji wa Lima, Peru, wanateolojia wenye kujiunga na Baraza la makanisa ya
Dunia wakatoa andiko lapamoja kuhusu upatano wa imani. Ubatizo, Ukaristiya na
Huduma; na wakafikiya ku sherekeya karamu ya Bwana pamoja (the Lima Litergy).
1984-86
Baraza kuu la thelathini, Modern, Manitoba, Moderator: The Rev. Robert F. Smith.
1985
Maongezi kuhusu umoja kati ya Kanisa la Muungano la Wafwasi wa Kristo ikaisha.
1986-88
- Baraza kuu la thalathini na moja, mji Sudbury, Ontario, Moderator: Daktari
Anne. M. Squire.
- Baraza kuu kamaliza uwekezaji Afrika ya Kusini.
- Baraza kuu ikaomba msamaha kwa makanisa ya wazaliwa wa Kanada kwakukataa
nyakati zakale imani yao.
1988-90
- Baraza kuu la thalathini na mbili, mji Victoria, British Columbia, Moderator:
Adilifu Rev. Sang Chul Lee.
- Mkusanyiko wa mkutano wa wazaliwa wote ikafunguliwa rasmi.
- Baraza kuu ikatowa tamko kwamba” watu wote, pasipo kuangaliya aina ya mwelekeo
ya ngono zao, ambao wakubali imani kwa Yesu Kristo wakaribishwa katika kuwa memba
ama kugeuka memba wa Kanisa la Muungano la Kanada na kwamba huweza kukubaliwa
kuwa kasisi wa huduma”
^
1990s
1990-92
Baraza kuu la thalathini na tatu mji London, Ontario, ikasherekeya myaka 65 ya
Kanisa la Muunguno. Moderator: Adilifu Rev. Walter H. Farquharson.
1992-94
Baraza kuu la thalathini na nne, Fredericton, New Brunswick, ikamchaguwa hadilifu
Rev. Stan Mckay, mzaliwa wa Kanada kama moderator.
1994-97
- Baraza kuu la thalathini na tano, mji Fergus, Ontarion, ikasherkea “ Church
Fair Day”; moderator: Dr. Marion Best.
- Mwaka wa 1994, Agosti, Kanisa la Muungano ikaimarisha “The Healing Fund”
kwaajili ya kusaidiya jamii ya wakaaji wa kwanza wa Kanada kwakujibu kwa uchungu
wa urithi wa shule za mtaani.
- Mwaka 1995, Machi, Ofisi ya baraza kuu la taifa ikahama kutoka 85 St. Claire
Ave. East, Toronto, kwakukodisha nyumba pa 3250 Bloor St. West.
- “The Ethnic Ministries Council” ikazinduliwa kikamilifu katika mwezi wa Juni,
1996.
- Katika mwezi wa Juni 1996, kitabu mpyaya wimbo, Voices United, ika zinduliwa
kikamilifu.
1997-2000
- Baraza kuu la thalthini na sita, mji Camrose, Alberta, ikachagua Adilifu
Rev. Bill Phipps kama moderator.
- Katika mwezi Octoba 1997, tafsiri ambazo zilitolewa na Bill Philips katika
maongezi yake na gazeti moja, ikaleta cheche kuhusu umungu wa Yes.
- Katika mwezi wa Octoba 1998, Kanisa la Muungano la Kanada ikatoa msamaha
kwa wanfunzi wa zamani wa Kanisa la Muungano la India
^
2000-
2000
Kanisa la Muungano la Kanada ikasherekeya myaka 75.
2000-03
- Baraza kuu la thalthini na saba, mji Toronto, Ontario, ikachaguwa adilifu
Rev. Daktari Marion Pardy kama moderator.
- Baraza kuu ika siliki sera ya kupinga ubaguzi wa rangi (anti-racism policy)“
kwamba wote wawe moja”, yenye kutambua ulazima wa kanisa la Muungano kuhutubia
kuhusu ubaguzi wa rangi ndani na inje ya kanisa.
2001
Baraza kuu mtendaji ikaruhusu ubadilishaji wa ofisi la baraza kuu. Kazi ya vikao
tano na baraza ya huduma ya ukabila (Ethnic Ministries Council) ika badilishwa
kuwa kumi na moja vya kazi (11 working unit).
2002
Cheo la “General Council Minister”, Racial Justice, ika umbuakwakusaidiya kanisa
kuishi uazamaji wake wakugeuka kanisa lenye kukataa uabaguzi warangi na kutembeya
katika njia mpya kufikiya upatanisho na wakaaji wa kwanza wa Kanada.
2003
- Baraza kuu la thalathini na nane mji Wolfvile, Nova Scotia, ikachagua Adilifu
Rev. Peter Short kama moderator.
- “The United Church of Canada Foundation” ika anzilishwa.
2004
Miaka mbili ya elimu ya kanisa la muungano, uwakili, muradi wa mchango wa feza,
“The Beads of Hope Campaign”, ikapata mafanikio. Hii kampeni yenyi fanaka kuu
ili anzishwa mwezi desemba 2002 kama jibu la haraka kwa hali ya juu ya ugonjwa
wa HIV-AIDS duniani.
Tena, zaidi ya dola milioni 2.3 ya mchango ili patikana kwaajili yakampeni
yakugeuza sera ya umma, iyi ni kama zaidi ya mara mbili ya mchango iliota tarajiwa.
2005
- Kanisa la Muungano la Kanada ika toa mwito kwa wa memba wake kwaajili ya
kutoa mchango yakusaidia ujenzi wa Asia na Africa ya mashariki,zilizo teketea
na Tsunami. Kufikia Desemba 26, 2004,zaidi ya dola milioni 1.5, ilichangwa.
- Kanisa la Muungano la Kanada ikasukuma bunge la taifa la Kanada kupiga kura
kwaajili ya ndao ya aina mijoa ( same sex).
- Kanisa la Muungano ikakaribisha agano la msingi, iliyo patikana kati ya serekali
ya Kanada na bunge ya wakaaji wa kwanza wa kanada, agano ambalo limesisitiza
suluhiso ya manafunzi wa shule za mkaa za wa India.