The United Church of Canada crest /L'Église Unie du Canada
3250 Bloor St. West, Suite 300
Toronto, ON M8X 2Y4 Canada
Toll-Free: 1-800-268-3781
Fax: 416-231-3103
Website: www.united-church.ca
Loading
Quick Links

History

Shore la Kanisa la Muungano

Trouble reading this page? See our help page!

Shore ndiyo sahihi ya kanisa la Muungano la Kanada, ambayo huwekwa kwa barua rasmi, cheti za kusimika na za uwakilishaji, na leseni zakutoa sakramenta. Shore hii iliyochapishwa na Rev. Daktari Victor T.Mooney (mtunza hazina wa kanisa la Muungano ), ilichukuliwa rasmi katika baraza kuu la kumi na moja la mwaka 1944.

Image

* See the Guidelines for Use if you are interested in using this image.

Kwa wa memba wa kanisa letu, hii alama ni kumbusho la alama na ki historia. Namna yake ya yai imetokana na alama ya mzunguko wa samaki, ambayo ni alama ya kitambulisho kwa wakristo wa kwanza. Herufi za neno “Yesu Kristu, mwana wa Mungu, Mwokozi”, ina tokana na neno yakigereki samaki.

Shore imefanywa katika alama ya Msalaba ya St. Andrew ikiwa na alama katika kila moja ya pembe nne. Alama “X” katikati, ambao ni herufi ya kwanza ya neno Kristu katika luga ya kigereki, ni alama ya asili ya neno Kristu.

Katika pembe nne ya shore kuna alama; tatu kati ya alama izo nne zina husiano na umoja tatu: 

Makanisa, Wa metodisti, na ma presbyteri, ambao walijiunga ku jenga Muungano wa makanisa wa Kanada katika mwaka 1925.

  • Bibilia yenye kufunguka, ina maanisha Makanisa na mkazo wao kuhusu ukweli wa Mungu ambao uwaweka watu huru. Kutoka huu umoja tuna urithi wa uhuru wa ubashiri, upendo wa uhuru wakiroho, utambulishaji wa nguvu za kubuni za roho mtakatifu, na ushahidi kuhusu sheria ya kiraia.
  • Njiwa ni alama ya Roho Mtakatifu (Marko1:10) ambayo inageuza nguvu, na ni alama ya wa Metodisti. Hapa, uridhi wetu ni moja ya juhudi ya huduma, shaka kuhusu ukombozi wa binadamu, woto wa mahubiri ya kikristo, ushuhuda wa maarifa yakiroho, na huduma wa nyimbo takatifu.
  • Kichaka lenyi moto nialama ya wa presbiteri. Ina rejea kichaka yenyi moto na ambalo haliku ungua (Kutoka 3:2), na inamaanisha kusito haribika kwa kanisa. Kutoka kwa wapresbiteri, tumepata uridhi wa hali ya juu kuhusu heshima ya huduma, elimu ya watu wote, mamlaka ya maondiko, na kanisa kama mwili wa Kristu.
  • Alama za alpha na omega, zinazo patikana katikasehemu ya chini niza kwanza na za mwisho katika alfabeti ya ki gereki. Zinamaanisha Mungu mwenye kuishi milele, katika ujalifu wa umbile. (Ufunuo 1:8).

Maneno lakilatini ut omnes unum sint ambazo zinazunguka alama kunako shore inamaanisha Na wote wawe moja na zilichukuliwa kutoka Yohana 17:21. Nimakumbusho kwamba sisi ni kanisa ambalo lina “ungana” na ambalo “linaunganisha”.

Katika mwaka 1980, tafsiri katika kifaransa ya The United Church of Canada- L’Eglise Unie du Canada-imekubaliwa na Baraza kuu ili liongezwe kunako shore.

Last updated:
2009/04/14
Created:
2007/05/28