The United Church of Canada/L'Église Unie du CanadaTrouble reading this page? See our Help page!
Hatuko pekee, Twaishi katika Dunia ya Mungu. Twaamini Mungu : yule aliye umba na bado aumba, yule aliye kuja ndani ya Yesu, neno kafwanywa mwili, kwaajili yakupatanisha na kujenga mpya, yule anaefanya kazi ndani yetu na ndani ya wengine kupitiya roho Twamsadiki Mungu Twaitwa kuwa kanisa: Kusherekea hudhurio ya Mungu, Kuishi kwa heshima kaitka Maumbile, Kwakuwapenda na kuwatumikia wengine, Kwakutafuta haki na kushinda maovu, Kwakutangaza Yesu aliye kufa na akafufuka, Mwamuzi wetu na tumaini letu. Katika maisha, katika kifo, katika maisha kabla ya kifo, Mungu yuko nasi. Hatuko pekee, Shukrani kwa Mungu.